Askofu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Zanzibar, Dickson Kaganga, amesema ni lazima jamii ifahamu rushwa ni dhambi kama zilivyo nyingine, hivyo wawe na hofu ya Mungu. “Biblia inasema rushwa ...