Israel inachukulia hili kama "ukiukaji kamili" wa makubaliano ya kusitisha mapigano na inatayarisha jeshi lake "kwa hali zote." Saa chache baadaye, Hamas ilifafanua kwamba "mlango unabaki kuwa ...
Miji ya Rabat, Casablanca, Agadir, Marrakech, Fes na Tangier. Orodha kamili ya mataifa 24 yanayotarajiwa kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika la CAF 2025 (AFCON) sasa yamethibitishwa ...
Chanzo cha picha, Getty Images Huduma za dharura zilisema takriban watu wengine 15 waliokolewa wakiwa na majeraha mabaya, ingawa idadi kamili ya walionusurika haijulikani. Picha zilizosambazwa ...
Puntland inasema vikosi vyake vimevamia mapango 48 na vituo vya IS – na kuharibu ndege zisizokuwa na rubani nyingi na vifaa vya kulipua – tangu kuanzisha operesheni yake kamili ya "hilaac ...
Kampuni hizo mbili za kutengeneza magari zilianza mazungumzo kamili mnamo mwezi Desemba mwaka jana juu ya uwezekano wa kuungana. Kampuni hizo zinasema zinapanga kuamua hadi katikati ya Februari ...
Raia wa Myanmar na wafuasi wao walikusanyika mbele ya ubalozi wa nchi hiyo jana Jumamosi, ikiwa ni miaka minne kamili baada ya jeshi kuchukua madaraka katika mapinduzi. Watu hao walishika mabango ...
alieleza kuwa shambulio hili linachukuliwa kama moja ya mashambulizi mabaya zaidi kuwahi kutokea katika historia ya nchi hiyo. Forest aliongeza kuwa idadi kamili ya majeruhi bado haijulikani kutokana ...
Unite.AI imejitolea kuzingatia viwango vya uhariri. Tunaweza kupokea fidia unapobofya viungo vya bidhaa tunazokagua. Tafadhali tazama yetu kufichuliwa kwa ushirika. Kuboreshwa miundo mikubwa ya lugha ...
KATIKA kipindi cha miaka 25 iliyopita, Tanzania imetekeleza dira ya maendeleo ya taifa 2025, ambayo ililenga kuinua uchumi wa nchi hadi hadhi ya kipato cha kati. Dira hiyo iliyoanza kutumika mwaka ...
Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo, ambaye pia ni Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Omar Said Shaaban, amesema chama hicho kinaposema kinataka kuinusuru Zanzibar, maana yake ni kuiondoa ...
kuna Wapalestina zaidi ya 10,000 wanaoshikiliwa kama wafungwa eneo la West Bank katika magereza ya Israel. Idadi kamili ya Wapalestina ambao wanashikiliwa na kuwekwa vizuizini nchini Israel tangu ...
Kamati hiyo ilitaja matukio mengi ya waamuzi kushambuliwa, hali iliyochochewa na madai ya rushwa. "Kamati imependekeza kuanzishwa kwa sera za wazi za upandishaji vyeo kwa waamuzi, kanuni kamili ya ...