Seva nyingi hizi zipo kwenye vituo vya data nje ya Afrika na nyaya hizo hutandazwa chini ya bahari kuunganisha mtandao na ...
Mashindano ya Afrika kwa vijana (AJC) yamekuwa msingi muhimu katika ukuzaji wa vipaji vya tenisi barani kote. Huku mazingira ...
Mashindano ya hivi majuzi ya tenisi ya vijana ya Afrika chini ya umri wa miaka 14 (AJCCC) yaliyofanyika kuanzia Februari 24 ...
Ripoti ya jarida la Afrika Kusini la Rapport iliyochapishwa Jumapili ilieleza kuwa wanajeshi wa Afrika Kusini waliojeruhiwa ...
MMOJA wa wasanii wanaotamba kwa sasa kwenye muziki Afrika ni Bien wa Kundi la SautiSol la Kenya. Moja ya sifa anazopewa ...
Pia, kahawa aina ya Robusta inalimwa katika mikoa ya Kagera na Morogoro. Ni katika jitihada hizo za kuongeza uzalishaji na ...
Imefika sehemu sasa Afrika Mashariki tumeiteka, sasa tunakwendaje mbali zaidi," alihoji na kuongeza ... Extra Pressure ya Ben ...
KIONGOZI wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye yuko jela kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. Ana historia ya miongo minne sasa ...
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameonesha kupinga tangazo la kuundwa kwa serikali mbadala ya Sudan na waasi ...
Uingereza imetangaza kusitisha msaada wake kwa Rwanda. Uamuzi huo umechukuliwa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na waasi wa M23 ambao wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaungwa mkono na Rwa ...
Chama cha Matibabu cha Australia (A-M-A) kimesema ni vigumu kujua kama jeki ya uwekezaji wa $8.5 bilioni ya serikali ya Labor ...