Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekamilisha upelekaji wa umeme kwenye vijiji vyote 12,318 nchini na ...
Mhita aliyabainisha haya leo, wakati wa kikapo cha Baraza la Madiwani cha Halmashauri hiyo cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/2025. Amesema nyumba nyingi vijijini zimejengwa kwa tope lakini nje ...