UMEME ni muhimu kwa maendeleo ya nchi kuanzia uchumi kwenye viwanda, biashara na kilimo mashambani. Ni nguzo upatikanaji na utoaji huduma zote kuanzia mawasiliano, elimu, afya, usafirishaji na maji ...
Mahakama yaahirisha hadi Feb. 17 kusubiri upelelezi. MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa imeahirisha kesi ya mauaji ya aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, Christina Kibiki hadi Fe ...
Amesema usafiri wa dharura na haraka ni muhimu katika kuokoa maisha ya mgonjwa, hivyo uongozi wa kituo hicho unapaswa kuhakikisha huduma hiyo inatolewa kwa usawa na kwa ufanisi.
Juma hili viongozi wa nchi za Afrika walikutana Tanzania, kujadili namna bora ya kuhakikisha raia wake wanaunganishwa na nishati ya uhakika, endelevu na nafuu ifikapo mwaka 2030.Takwimu zinaonesha ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema mafanikio ya kufikisha umeme kwa asilimia 100 vijijini yametokana na maono ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya nishati.
DAR ES SALAAM; SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0 mchezo wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果