Mahakama yaahirisha hadi Feb. 17 kusubiri upelelezi. MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa imeahirisha kesi ya mauaji ya aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, Christina Kibiki hadi Fe ...
Juma hili viongozi wa nchi za Afrika walikutana Tanzania, kujadili namna bora ya kuhakikisha raia wake wanaunganishwa na nishati ya uhakika, endelevu na nafuu ifikapo mwaka 2030.Takwimu zinaonesha ...
Naye Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, Anna Msola, amewaomba wananchi wa Kata ya Ilula kuonyesha ushirikiano ... “Haya maeneo ya wilaya yetu kuna wagonjwa wengi wanaotokea ...
Tangu Januari, vita vimewahamisha watu 400,000 kutoka vijijini mwao. Karibu nusu ya idadi ya watu wa Kivu Kaskazini sasa wanaishi na familia za wahisani au katika kambi. Mmoja wao ni Pacifique Maombi.
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema mafanikio ya kufikisha umeme kwa asilimia 100 vijijini yametokana na maono ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya nishati.
Iringa. Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika. Mwendesha ...
DAR ES SALAAM; SIMBA imeendelea kuthibitisha ni somo katika michuano ya kimaaifa baada ya leo kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0 mchezo wa Kombe la Shirikisho Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inafanya utafiti wa tatu wa hali ya upatikanaji na matumizi ya nishati katika mikoa yote ya Tanzania Bara. Hayo ...
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umesema kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba 2024, vijiji vilivyounganishwa na umeme nchini vimefikia 12,301 kati ya vijiji 12,318 ambayo ni sawa na asilimia ...
Safari yake ya kisiasa Alifanya kazi kuanzia 1999-2009 katika Timu ya Wanasheria wa Mazingira (LEAT), akipigania haki za maskini, jumuiya za vijijini, iwe dhidi ya ufugaji wa kamba wa viwandani au ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果