KIKOSI cha KenGold kinaendelea kujifua kabla ya kuanza ngwe ya lala salama ya Ligi Kuu Bara, huku kipa namba moja wa timu hiyo, Castor Mhagama akisema ujio wa wachezaji wapya waliosajiliwa dirisha ...