Aidha, amewataka wananchi wanapotumia dawa za Kifua kikuu wamalize dozi na siyo kukatisha hali ambayo inasababisha ugonjwa kuwa usugu. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Shinyanga, Dk.