Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
vyenye mafuta (unene), kutokula matunda na mboga mboga. “Tofauti na ilivyokuwa hapo awali, ilikuwa inatokea kwa watu wenye miaka 60 na kuendelea, Tanzania inatokea wastani wa miaka 40. Umri wa ...
Mboga za majani na matunda ni sehemu muhimu katika mlo wa kila siku, hasa kwa watoto wanaoendelea kukua na wenye kisukari. Vyakula hivi vinatoa virutubisho muhimu vinavyosaidia katika ukuaji wa mwili ...
Katibu Miradi Can Tanzania, Fadhili Shahidi, akielezea ripoti iliyofanywa na wadau wa nishati jadidifu ... "Uwepo wa nishati jadidifu vijijini utawasaidia wakulima kuwa na majokofu ya kutunza maziwa ...