RAIS Samia Suluhu Hassan, juzi aliwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni ikiwa ni jitihada zake za kujaza ombwe la nafasi katika utendaji au mabadiliko ya kawaida kuimarisha utendaji ...
Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 521 katika kipindi cha Julai 1, 2024, hadi Desemba 31, 2024. Hii ni sawa na asilimia 52.2 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 1 kwa mwaka wa ...