Lakini urejeshaji wa hali ya kawaida na ujenzi mpya utachukua muda kwani kiasi kikubwa cha mabaki kinasalia, na miundombinu iliharibiwa katika maeneo yaliyoathirika. Pia kuna wasiwasi kuhusu ...
Vita inayoendelea Sudan kwa zaidi ya miezi 18 sasa inaongeza wimbi la wakimbizi ndani na nje ya nchi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA. Shirika hilo ...
Mwanaume mmoja kutoka Yangon alisema raia wanakamatwa karibu kila siku na kwamba haiwezekani kwa watu kuishi maisha ya kawaida. Alisema anataka kuiomba Japani kusaidia watu wa Myanmar. Mwanamke ...
Ilionekana kama shughuli ya kawaida ya biashara, lakini kwa kweli ilikuwa sehemu ya udanganyifu iliyolenga kukwepa mamilioni ya kodi. Hati iliyovuja inasema Blue Ocean ilikodisha boti kwa Ragdale ...
TUME ya Rais ya Maboresho ya Kodi, imefika mkoani Pwani, kwa ajili ya kukusanya maoni, pamoja na kupokea mapendekezo ya namna ya kuboresha masuala ya kodi nchini. Tume hiyo ikiongozwa na Makamu ...
Hatua ya Rais Samia kuipa kipaumbele ajenda hiyo ni kutokana na madhara ya kiafya na kiuchumi kwa wanadamu hasa wanawake. Kwa mazingira ya kawaida na maisha ya kiafrika, mwanamke ndani ya nyumba ndiye ...
Kwa kawaida, popote haiba mbili tofauti zinapogongana lazima mgogoro hutokea, ingawa hali hii inaweza kupunguzwa au hata kuepukwa kabisa. Kwa kuiangalia migogoro, watu wanaweza kugawanywa katika aina ...
“Nilidhani ni mabadiliko ya kawaida labda kwa sababu ya uchovu wa kazi, hivyo niliyatuliza kwa dawa za maumivu, baadaye nilizidi kuumwa na ndugu zangu kuhisi pengine nitakuwa nimerogwa. “Nilipelekwa ...
Alitayarisha milo na akaongeza kipato cha familia kwa kuuza patés na ndizi za kukaanga kwa majirani. Maisha yao ya kila siku yalikuwa ya kawaida lakini thabiti. Mtoto wao Kenson alihudhuria shule ya ...
Katika hali isiyo ya kawaida mama mzazi wa aliyekuwa mmiliki na mkurugenzi wa Kituo cha Michezo cha Alliance kilichopo jijini Mwanza, James Bwire, aliyefariki dunia Januari 25, 2025 naye amefariki.