WAKULIMA wa viazi mviringo mkoani hapa wameiomba serikali kuongeza upatikanaji wa mbegu za zao hilo ili kukabiliana na uhaba na kusababisha kushindwa kuzalisha kwa wingi. Ombi hilo walilitoa mwishoni ...
hupunguza tindikali inayodhuru tumboni na kukinga magonjwa yenye asili ya kansa tumboni. Karoti inaweza kuliwa kwa namna mbalimbali kama vile, ikiwa mbichi kwa kutafuna, inaweza kupikwa na ...
picha zimeibuka za ndege zikidondosha poda nyekundu na waridi kwenye vitongoji vya Los Angeles. Maafisa wanasema maelfu ya galoni za poda hiyo zilidondoshwa wiki iliyopita ili kuzuia moto huo kuenea.
Maagizo ya rais ni chombo muhimu kwa yeyote anayeongoza Marekani na kutaka kuacha kumbukumbu kwenye sera ya serikali - na inaonekana kuwa Donald Trump hana cha kupoteza muda katika hili kwenye ...
Muonekano wa moja kati ya mashamba ya viazi mviringo lililopo Mtwango wilayani Njombe. Njombe. Wakulima wa viazi mviringo mkoani hapa, wameiomba Serikali kuongeza wigo wa upatikanaji wa mbegu za zao ...
amepitia changamoto kubwa ya kiafya baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe wa kilo 5.5 uliokuwa kwenye mfuko wake wa mayai. Mama huyo akizungumza na Mwananchi, ameeleza namna alivyogundua ...
Mtaa maarufu wa manunuzi katika wilaya ya Ueno jijini Tokyo inafurika wanunuzi wa msimu wa likizo na watalii kabla ya Siku ya Mwaka Mpya. Kuna takribani maduka 350 katika Mtaa wa Manunuzi wa ...
Heri ya mwaka mpya 2025 msikilizaji wa RFI Kiswahili popote pale unapotegea sikio matangazo yetu na hasa makala ya Gurudumu la Uchumi, ni imani yetu kuwa nyote mbuheri wa afya. Makala ya Gurudumu ...