Wizara ya Ulinzi ya Urusi inasema vikosi vyake vimeutwaa mji muhimu wa kimkakati katika eneo la Donetsk la Ukraine wakati vikosi vya Urusi vikizidisha mashambulizi yake huko mashariki mwa Ukraine.