Hilo linatokana na kusambaa kwa vikosi vya ulinzi na usalama katika eneo hilo, leo Jumanne, Januari 21, 2025, vikiongozwa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro. Sambamba ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
Hayo yamesemwa leo Jumatatu Januari 20,2025 na Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo, Jumanne Muliro, alipozungumza na waandishi wa habari jijini hapa kuhusu Regina ambaye alipotea tangu Desemba 13, 2024.