Wamegundua kwamba chembe za protini za maziwa kwenye mende zina virutubisho "vingi ajabu”. Wanasema vinasema kutumiwa kama tembe ama chakula chenye virutubisho vya protini kwa kiwango cha juu.