Mwanza. Jumla ya Sh34 milioni zimetumika kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki katika vizimba utakaonufaisha kaya 27 zilizopo kwenye mpango wa kunusuru kaya maskini katika Mtaa wa Kayenze Ndogo Wilaya ...
WAFUGAJI wa samaki kwa njia ya vizimba wa Ziwa Victoria wamekiomba Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kutatua kero zao ili waweze kufanya uwekezaji katika mazingira rafiki na wezeshi. Ombi hilo ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
Dk mwinyi alisema serikali imewapa wananchi mbinu bora za kutekeleza shughuli zao, vifaa vya kufanyia kazi pamoja na ujenzi wa madiko na masoko ya kuuzia samaki ili wawe na mazingira mazuri ya ...
Sasa nimeomba tena ili niendelee kukuza biashara yangu," alisema Haji Mwarabu, mfanyabiashara wa samaki mwenye ulemavu kutoka Kata ya Kanga, Bweni. Halmashauri ya Wilaya ya Mafia imetangaza kuwa ...
000 lakini sasa unapata watatu kwa bei hiyo tena ni samaki aina ya magege wadogo,” anasema Joyce Kilolo mkazi wa Kijiji cha Ifuko. Wazee wasimulia Mto Songwe ulivyobadilika Akisimulia hali ilivyokuwa ...
Donald Trump amerejea tena katika Ikulu ya White House baada ya kuapishwa rasmi kuwa rais wa 47 wa taifa hilo Jumatatu tarehe 20 Januari. Trump ameahidi kuanza kwa "enzi mpya" kwa nchi hiyo na ...