Kamanda Mutafungwa amesema baada ya kuonekana wakitishia usalama wa maofisa wa polisi waliofichua maficho yao kutokana na ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira akizungumza na wafuasi wa chama hicho katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza. Picha na Mgongo Kaitira. Makamu Mwenyekiti wa ...
Wadau wa michezo nchini, ndugu, jamaa, marafiki, wanasiasa na wakazi wa Jiji la Mwanza wameuaga mwili wa Mkurugenzi wa Kituo cha Michezo na Shule za Alliance, James Bwire na kesho ...
Amesema hayo, leo Februari 10, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo alieyetaka kujua ni lini ...
Umuhimu wa sekta isiyo rasmi Sekta isiyo rasmi nchini si tu kwamba ni shughuli ya kiuchumi, bali pia ni nguzo kuu ya uchumi ...
MBUNGE wa Viti Maalumu, Esther Bulaya, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Tundu Lissu.
USALAMA wa viumbe katika Ziwa Victoria na watumiaji wa rasilimali zake uko hatarini kutokana na taka za plastiki zinazoingia ziwani, wataalamu wakizitaja kuwa na athari za moja kwa moja kiafya na mfum ...
Rais Dk Samia Suluhu Hassan. RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), utakaofanyika Februari mwaka huu jijini Mwanza.
Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii serikali ya Tanzania imechukua hatua muhimu ya kuhakikisha kwamba wawekezaji wakubwa na wadogo kwenye Sekta ya Madini wanaendesha shughuli zao kwa tija kwa ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Wahandisi nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu, na uwajibikaji ili kuhakikisha taaluma hiyo inatoa mchango stahiki katika maendeleo ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania. Taarifa ya shirika hilo ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果