Chanzo cha picha, Getty Images Ndizi zina aina 3 za sukari asilia ambazo ni fructose, glucose na sucrose ambazo huusaidia mwili kupata nishati ya kutosha na kutengeneza nguvu. Ndizi huimarisha mifupa.