Anasema lengo la mkutano na utekelezaji wa maazimio ni kujenga usawa wa jinsia kwa wanawake na wanaume, watoto wa kike na wa kiume bila ubaguzi. Kumwezesha si kukurupuka ni moja ya masuala 12 ...