Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda sasa wanaudhibiti na kuuendesha mji wa Goma ambao ndio mkubwa na muhimu zaidi katika eneo la mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC). Mji wa Goma ...
Katika Ukanda wa Gaza, ni wachache wanaotaka kusikia kuhusu kutelekeza nyumba zao, ingawa kwa wengi sasa ni milima ya vifusi baada ya miezi 15 ya vita na kushuhudia karibu vifo 47,000 vya Wapalestina.
Anasema lengo la mkutano na utekelezaji wa maazimio ni kujenga usawa wa jinsia kwa wanawake na wanaume, watoto wa kike na wa kiume bila ubaguzi. Kumwezesha si kukurupuka ni moja ya masuala 12 ...
Mzee Christopher Lee katika ujana wake aliwahi kuishi Dar es Salaam wakati baba yake alipokuwa balozi wa Uingereza hapa nchini katika miaka ya nyuma. Mtoto wa kwanza wa kiume wa mzee Christopher Lee, ...
Dereva aliamua kwa sababu yake mwenyewe alimsaidia usafiri mtu wa jinsia ya kiume ambaye aliketi siti ya nyuma ya dereva na safari ya kuelekea shuleni ilianza," amesema Mutafungwa. Amesema:"Umbali ...
JESHI la Polisi mkoani Mwanza limethibitisha kuua watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi, katika jaribio la kuiba nyumbani kwa mfanyabiashara, wakiwa wamevalia mavazi ya kike kuficha jinsia na ...
Utafiti mwingine kutoka Journal of Nephrology wa mwaka 2018, ulionyesha umuhimu wa kula kifungua kinywa kilicho na virutubisho muhimu, kwa afya ya figo ambavyo ni matunda, mboga na vyakula vyenye ...