ya kike na ya kiume. Mstari huo wa mwisho wa hotuba yake uliibua hisia za shauku katika jengo la Capitol na shangwe kubwa kutoka kwa umati wa wafuasi wake waliokusanyika katika uwanja wa michezo ...
ya kike nay a kiume," alisema. Rais alitumia sehemu ya kwanza ya hotuba yake kuahidi "taifa ambalo ni la kujivunia, lenye mafanikio na huru." "Uhuru wetu utarejeshwa, usalama wetu utarejeshwa ...
Mara ya kwanza ulipokutana na mkeo, alikuwa malaika. Alikuwa ni mwanamke mzuri, mrembo kupita maelezo. Alikuwa ni mwanamke anayeweza kubeba sifa zote tamu na bado akabaki na nafasi ya kupokea zingine.
Wakati huo huo, Roselène alisimamia nyumba yao ndogo. Alitayarisha milo na akaongeza kipato cha familia kwa kuuza patés na ndizi za kukaanga kwa majirani. Maisha yao ya kila siku yalikuwa ya kawaida ...
Anasema lengo la mkutano na utekelezaji wa maazimio ni kujenga usawa wa jinsia kwa wanawake na wanaume, watoto wa kike na wa kiume bila ubaguzi. Kumwezesha si kukurupuka ni moja ya masuala 12 ...
Binti mmoja aliandika kwenye mtandao wa kijamii akilalamika kwamba, kuna rafiki yake wa kiume, ni rafiki, siyo wapenzi, alimtafuta na kumuomba waende kutembea mbuga za wanyama wikiendi moja. Binti ...
Mzee Christopher Lee katika ujana wake aliwahi kuishi Dar es Salaam wakati baba yake alipokuwa balozi wa Uingereza hapa nchini katika miaka ya nyuma. Mtoto wa kwanza wa kiume wa mzee Christopher Lee, ...
Muda mfupi baada ya kuapishwa rasmi, Trump alisisitiza kauli yake ya kwamba “kuna jinsia mbili tu” – ya kiume na ya kike, akifuatia kwa kusema kuwa ataendeleza juhudi za kukomesha uhamiaji haramu na ...
JESHI la Polisi mkoani Mwanza limethibitisha kuua watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi, katika jaribio la kuiba nyumbani kwa mfanyabiashara, wakiwa wamevalia mavazi ya kike kuficha jinsia na ...