Nashangaa sikuwa na woga, wala hofu, nilikubali na akanikalisha kwenye meza na kunilisha ndizi kibao na kuwaambia watazamaji kuwa punde atanipasua na kuzitoa ndizi nilizokula. Watu walinyamaza katika ...
Said Juma, muuza chipsi na ‘nyama choma’ Mwenge wilayani Kinondoni, ameonesha mshangao akihoji marufuku hiyo, akisema. “Sijui hiyo marufuku, sijui nitafanyaje maana mtaji wangu ni mdogo, kumudu ...