Nashangaa sikuwa na woga, wala hofu, nilikubali na akanikalisha kwenye meza na kunilisha ndizi kibao na kuwaambia watazamaji kuwa punde atanipasua na kuzitoa ndizi nilizokula. Watu walinyamaza katika ...
Pia walipata ushahidi zaidi kwamba unywaji wa pombe kupita kiasi na nyama iliyochakatwa kiwandani vina athari na huongeza hatari ya kupata saratani. Madaktari wanasema lishe bora, kuwa na uzito wa ...
Wananchi hao wanaojishughulisha na kilimo cha ndizi, viazi pamoja na matunda kama pasheni, parachichi na maembe wameiomba Serikali kutekeleza ahadi yake ya ujenzi wa barabara hiyo na kuiwezesha ...
Sokwe watu hutoa zawadi ya vitu kama tufaha na ndizi na wanyama walio nje ya kundi lao, na wako tayari hata kuacha chakula chao kwa ajili ya kuwasiliana na wanyama wasiowafahamu. Yote hii inaleta ...