Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar na Chama cha waongoza watalii Zanzibar (ZATO) Februari 6, 2025 walifanya ziara maalumu (Fam – Trip) katika Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa dunia Magofu ya Kale Kilwa ...
Picha na Zuleikha Fatawi Unguja. Wakulima wa mwani kisiwani Unguja wameeleza ukosefu wa mbegu bora za uzalishaji zao hilo hivyo kurudisha nyuma jitihada zao. Wakulima hao wameeleza changamoto hiyo ...
Zanzibar. Leo Februari 14,2025, ikiwa ni siku rasmi ya kufunguliwa kwa Tamasha la muzuki la Sauti za Busara 2025, Ngome Kongwe, Stone Town kisiwani Unguja. pilikapilika zimeshamiri kisiwani hapa.
Katika kuadhimisha miaka 100, TCB ilizindua kampeni ya Mahaba Kisiwani kwa lengo la kuhamasisha matumizi ya huduma za kibenki za kidijitali. Kupitia kampeni hiyo, wateja waliotumia njia za kidijitali ...