Shirika la Ndege la Afrika Kusini (SAA) limezindua rasmi safari zake za kila siku kati ya Johannesburg, Afrika Kusini, na Dar es Salaam, Tanzania, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi ...
Mamlaka ya masuala ya uchunguzi ya Jiji la Los Angeles kupitia kwa ofisa wake Thomas Noguchi ilitoa ripoti kwamba kifo chake ...
Ndege hiyo ilikuwa inakaribia kutua uwanja wa ndege wa Reagan mwendo wa saa tatu usiku kwa saa za Marekani baada ya kupaa kutoka Wichita, Kansas, wakati ajali hiyo ilipotokea. Tawi la shirika hilo ...
mkoani Saitama majira ya saa 3:40 jana Jumanne asubuhi kwa saa za Japani, na gari la mizigo kutumbukia kwenye shimo ambalo lilikuwa na upana wa mita takribani 10 na kina cha mita 5. Polisi ...
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, Marco Rubio, ameidhinisha "Hati ya Dharura ya Kibinadamu," ambayo itawezesha watu kuendelea kupata matibabu ya VVU yanayofadhiliwa na Marekani katika nchi 55 ...
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, Marco Rubio, ameidhinisha "Hati ya Dharura ya Kibinadamu," ambayo itawezesha watu kuendelea kupata matibabu ya VVU yanayofadhiliwa na Marekani katika nchi 55 ...
Mkutano huo, ulioombwa na Kinshasa kupitia ombi lililowasilishwa na Ufaransa, utafanyika Jumapili asubuhi kwa saa za Marekani. Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani katika DRC ...
“Hizo taarifa si sahihi. Zinatumika na maadui zangu wa kisiasa kunichafua. Mimi nilikuwa napiga picha za viongozi kwa ajili ya kuweka ukutani. Hao mabalozi wameshinikizwa na watu ambao hawanitakii ...
Kuanzia saa za kwanza za kusitisha mapigano siku ya Jumapili, misaada ya kibinadamu ilitiririka hadi katika eneo lililoharibiwa la Palestina, ambapo malori 630 yaliingia wakati wa mchana ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Japani Iwaya Takeshi ameelekea nchini Marekani kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya uapisho wa urais wa Trump jijini Washington kesho Jumatatu kwa saa za nchi hiyo.
Ni saa 48 za moto, kutokana na uhalisia wa ushindani unaosababishwa na nguvu na ushawishi walionao wagombea wa nafasi mbalimbali za kukamilisha safu hiyo ya uongozi. Katika saa 24 za kwanza, ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果