Wanasayansi wamebaini siri ya samaki wa dhahabu jinsi wanavyoweza kuishi chini ya maziwa yaliyofunikwa na barafu. Watafiti hao pia wamebaini kwa nini samaki na ni jinsi gani samaki hao hugeuza ...
Wakaazi wa kijiji kimoja Magharibi mwa Sri Lanka wamesema kuwa wameshangazwa na pia kufurahishwa na tukio la 'kunyeshewa' na mvua ya Samaki wadogo. Samaki hawa ambao walikuwa katika hali nzuri ya ...