Kwa mujibu wa Andrews, Myanmar imeingia katika machafuko makubwa chini ya utawala wa kijeshi, huku vikosi vya jeshi vikihusika na mauaji ya halaiki, mabomu, na kuchoma vijiji. Amesema "Jeshi limeua ...
Mtu mmoja aliyeanzisha maandamano ya ghasia baada ya kuchoma Quran ameuawa kwa risasi nchini Uswidi, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya eneo hilo. Salwan Momika, mwenye umri wa miaka 38 ...
Hakikisha unakula vyakula vyenye magnesiamu kwa wingi kama vile mboga za majani, karanga na mbegu. Pia, vyakula vyenye omega-3 kama samaki wa maji baridi vinaweza kusaidia kupunguza uvimbe wa misuli ...
Simiyu. Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Simiyu iliyopo mjini Bariadi, Latipha Juma (17) amejiua kwa kujinyonga kwa mtandio chumbani kwake, huku sababu za kufanya uamuzi huo ...
Peter Nsanya, anasema wanatekeleza miongozo iliyowekwa na Wizara ya Afya kwa kuhakikisha vituo vya kutolea huduma za afya vinakuwa na utaratibu maalumu wa kuchoma taka hizo. Anataja moja ya mikakati ...