Mwanza. Jumla ya Sh34 milioni zimetumika kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki katika vizimba utakaonufaisha kaya 27 zilizopo kwenye mpango wa kunusuru kaya maskini katika Mtaa wa Kayenze Ndogo Wilaya ...
Wataalamu wa sheria wamesema kitendo cha mwimbaji wa muziki wa injili, Goodluck Gozbert kuchoma moto gari aliyopewa kama ...
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Dk. Ashatu Kijaji, amewataka wananchi wanaojihusisha na shughuli za uvuvi wa samaki kulinda rasilimali hizo ili wawekezaji waliowekeza viwanda vya kuchakata samaki wapate ...
Kwa mujibu wa Andrews, Myanmar imeingia katika machafuko makubwa chini ya utawala wa kijeshi, huku vikosi vya jeshi vikihusika na mauaji ya halaiki, mabomu, na kuchoma vijiji. Amesema "Jeshi limeua ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
Petro anasema kitendo kama kuchoma moto gari la jeshi hakizingatiwi kuwa ni hasara kubwa kwa Wanajeshi wa Ukraine: "Lakini kinaweza kuyumbisha umoja wa jamii ya Ukraine, kwa hivyo hilo ndilo ...
NYOTA wa muziki wa nyimbo za Injili nchini, Goodluck Gozbert, amezua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuchoma gari alilodai kupewa zawadi na nabii, akidai zawadi hiyo haikuwa sahihi ...
Ripoti hiyo inaeleza kwamba kati ya wanawake 165 na 167 walivamiwa na kunyanyaswa na wafungwa wa kiume walipovunja gereza. Wengi wa wanawake hao waliuawa baada ya wafungwa hao kuchoma moto jela. Goma, ...
CONGO: WAFANYAKAZI wawili katika ubalozi wa Kenya katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, walilazimika kutoroka na kutafuta hifadhi baada ya waandamanaji kuvamia jengo hilo na ...
hivyo kunakuwa na uhitaji mkubwa wa kuku wa kuchoma. Tumejiandaa kuhakikisha kwa kipindi chote wanapatikana ili kukidhi mahitaji hayo,” alisema. Naye mamalishe Mwadawa Omary alisema wameanza kuona ...