WAFUGAJI wa samaki kwa njia ya vizimba wa Ziwa Victoria wamekiomba Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kutatua kero zao ili waweze kufanya uwekezaji katika mazingira rafiki na wezeshi. Ombi hilo ...
Mkazi wa Yombo Dovya, anayefanya biashara ya chapati, ambaye hakutaja jina lake, alisema alinunua mafuta ya kupikia dukani ambayo aliyatumia kukaanga chapati kama kawaida ambazo hata yeye alikula.