Mwanza. Jumla ya Sh34 milioni zimetumika kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki katika vizimba utakaonufaisha kaya 27 zilizopo kwenye mpango wa kunusuru kaya maskini katika Mtaa wa Kayenze Ndogo Wilaya ...
Ametaja miongoni mwa sababu zinazochangia matatizo haya ya lishe ni ulaji usiofaa, ambapo takwimu zinaonyesha kuwa watu wengi wanatumia vyakula vya kukaanga na nafaka, hali inayohatarisha afya zao.