Maji katika maeneo ya ardhi oevu, huweza kuwa ya chumvi, maji baridi au mchanganyiko wa maji baridi na chumvi. Lakini umuhimu wake ni upi?
MRADI wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda, linalojengwa mkoani Morogoro litakuwa na uwezo wa kuhifadhi zaidi ya lita bilioni 190 za maji, umegharimu Sh. bilioni 336. Kwa sasa, umefikia zaidi aslimia 27 za ...
Mwanza. Jumla ya Sh34 milioni zimetumika kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki katika vizimba utakaonufaisha kaya 27 zilizopo kwenye mpango wa kunusuru kaya maskini katika Mtaa wa Kayenze Ndogo Wilaya ...
Wakizungumza na gazeti hili leo Januari 28, 2025 baadhi ya wakazi wa vijiji vya Ibanda na Mwamala wamesema changamoto ya maji ni kubwa kutokana na kutumia maji ya chumvi. Marco Daudi, mkazi wa Kijiji ...
Msichana mwenye umri wa miaka 22 alidaiwa kubakwa, kuuawa na mwili wake ukiwa mtupu kutupwa kwenye shimo la maji huko Ayodhya, mji ulioko kaskazini mwa jimbo la Uttar Pradesh nchini India.
Kambi ya Bulengo ilikuwa moja ya kambi kubwa karibu na Goma. Familia ambazo zilikimbia mapigano zinakabiliwa na mahitaji makubwa kwa vile hazina makazi ya kutosha, na upatikanaji mdogo wa maji na ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo ... DRC na kutaka kurejeshwa mara moja kwa huduma muhimu kama vile maji, umeme, njia za mawasiliano na njia za usambazaji wa chakula ...
kwa wakurugenzi wa halmashauri kuhusu upatikanaji wa huduma za maji katika shule zote nchini. Naibu Waziri, Zainabu Katimba alitoa maelekezo hayo akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Mwantum Zodo ...
Mamia ya wakaazi wa kaskazini mashariki mwa Kenya maeneo yanayopakana na Somalia na waathiriwa wakubwa wa mzozo wa Somalia hawajakuwa na maji masafi , hali hiyo ikizidisha mgogoro wa kijamii ...