Huwa nashangaa mafyatu wanavyofikiri kinyumenyume. Leo, nitafyatua kasheshe ya kuwaonea akina Yero sobai wanaohamishwa kwenye ardhi ya mababu zao utadhani waanimo toka Serengeti kwenda Burigi-Chato ...