VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba imeweka wazi sababu za kutofanya ... Alisema pia kikosi chao kinaendelea vyema na mazoezi kwa ajili ya mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya michuano ya Kombe ...
Simba iliwahi kutolewa kwenye hatua za mwanzo, Desemba 22, 2017, dhidi ya Green Warriors kwa penalti 4-3, baada ya kumaliza dakika 90 kwa sare ya bao 1-1 kabla ya kujirudia Desemba 26 kwenye uwanja ...