资讯
Simba inayoongoza msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 61, ushindi katika mechi hii dhidi ya Yanga, utawaweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa msimu huu ambao utakuwa wa nne mfululizo kwao ...
Kuna saa 24 za moto kwa Simba na Yanga kujiuliza wanaziendeaje mechi zao zilizoshikilia maana kubwa katika kufikia malengo ...
Timu nane zitashiriki mashindano hayo ambazo ni Yanga, Azam, Coastal Union, Singida Black Stars, Zimamoto, KVZ, JKU na KMKM.
YANGA inajivunia kuwa na wigo mpana wa kufunga mabao inapokwenda kukabiliana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ...
Simba SC imewahi kufika robo fainali ya mashindano ya Afrika mara nane, lakini imefanikiwa kuvuka hatua ya robo fainali mara ...
WATETEZI wa Kombe la Shirikisho (FA), Yanga jioni ya leo wanashuka uwanjani kuikaribisha Stand United katika mchezo wa robo fainali ya michuano hiyo, huku Chama la Wana likipiga hesabu ya ...
Simba imetinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF baada ya kuiondoa Al Masry ya Misri kwa mikwaju ya penati ...
Timu ya Yanga SC imetinga nusu fainali kombe la CRDB Federation Cup kwa kuifunga Stand United bao 7-1 wakiwafuata Simba SC ambayo ilifuzu kutinga nusu fainali kwa kuichapa Mbeya City bao 3-1. Yanga SC ...
Maandalizi kwa wawakilishi wa Tanzania Simba ... Yanga wataumana na Mamelodi Sundowns ya Africa Kusini Jumamosi ya machi 30. Simba wamekita kambi Visiwani Zanzibar na wachezaji wa simba kuelekea ...
Katibu wa Matawi ya Yanga mkoani Kagera Jamali Kalumuna aliwaongoza wadau kufungua kikao cha kutoa kauli ya pamoja kuwa hawataki tena mchezo wa marudiano badala yake wanaiomba Bodi ya Ligi Kuu na TFF ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果