WAKATI kikosi cha Simba kikitarajiwa kuwasili Tabora mapema leo, uongozi wa timu hiyo umesema ... Tabora United iliifunga Yanga mabao 3-1, mechi iliyochezwa Novemba 7, mwaka jana kwenye Uwanja wa Azam ...
Tabora United ilipata jeuri baada ya kuichapa Yanga mabao 3-1 na kisha kutoa kipigo cha 2-1 dhidi ya Azam FC kwenye mechi za mzunguko wa kwanza, matokeo yaliyoifanya kujiaminisha kwamba itaitandika ...