Na Safina Sarwatt, Mtanzania Digital Msimu wa 23 wa mbio maarufu za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2025 umezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki ...
Sakata la wachezaji watatu wa timu ya Singida Black Stars (SBS), waliopewa uraia wa Tanzania, limechukua sura mpya baada ya Wakili Peter Madeleka kutangaza kufungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu.