Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imesitisha safari zake za ndege kati ya Dar as Salaam na Mumbai (India ) kuanzia tarehe 4 mwezi Mei hadi hapo itakapotolewa taarifa nyingine ya kurudisha safari hizo.