Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, aliliambia gazeti hili jana kikosi chao kiko tayari kumaliza tambo za Tabora United kwa kuwaonesha wao bado ni timu ya daraja la kati. Ahmed ...
Basi la timu ya Dodoma Jiji FC limepata ajali ya asubuhi hii maeneo ya Nangurukuru kuelekea Somanga mkoani Lindi likitokea mjini Ruangwa ambako jana walicheza mechi ya ya Ligi Kuu NBC dhidi ya Namungo ...