Nairobi, Kenya – Kwa kawaida unapotua jijini Nairobi kwa mgeni au mwenyeji, hali ya joto ni zaidi ya nyuzi joto 20, lakini kuna sehemu moja katika mji mkuu wa Kenya ambapo viwango vya joto ...
Kocha wa timu ya soka ya wanawake ya Kenya chini ya miaka 17, Mildred Cheche ana kazi ya kujenga upya kikosi chake kabla ya mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia la Wanawake dhidi ya Uganda mwezi Machi.
Waziri mkuu wa Togo Gilbert Huongbo, amesema shambulizi dhidi ya timu ya taifa ya soka ya nchi hiyo ni pigo kubwa kwa taifa lake na aibu kubwa kwa soka barani afrika. Washiriki watatu wa timu hiyo ...
TIMU ya kampeni ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, imeshusha takwimu za mafanikio kwa miaka 21 ambayo amekiongoza chama hicho. Aidha, imeahidi kwamba uchaguzi ...
SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT) limetangaza mabondia 15 wa timu ya taifa ya ngumi watakaoingia kambini kujiandaa na mashindano ya ubingwa wa dunia kwa wanawake. Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu ...
Wafanyakazi hao watatoa msaada wa kiufundi na vifaa kwa Wizara ya Afya ya Uganda, WHO imesema katika taarifa iliyotolewa mjini Kampala. Wizara ilitangaza mlipuko wa Ebola siku ya Alhamisi baada ya ...
KIKOSI cha Dodoma Jiji kimepata ajali ya basi kikitokea Ruangwa mkoani Lindi kuja jijini Dar es Salaam, baada ya jana tu kumaliza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya wenyeji wao Namungo FC, ...
Kocha Msaidizi wa timu ya KenGold, Omary Kapilima amesema wamejipanga vizuri kuikabili Yanga, akiamini mchezo utakuwa mzuri na wanategemea kupata alama tatu katika mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ...
Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud amezindua timu ya ushindi ya chama hicho kwa upande wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Timu hiyo ...
hii kabla ya kupanga droo katika Ukumbi wa Kitaifa wa Mohammed V mjini Rabat. Timu 24 zilizofuzu zitapangwa katika makundi sita kila moja likiwa na pande nne, huku taifa mwenyeji Morocco likiwekwa ...
Alisema siku ya kutisha zaidi ilikuwa wakati timu ya madaktari walikuwa wakifanya upasuaji wa dharura wakati makombora yalipoanza tukio ambalo alilitaja kuwa ni uzoefu wa karibu wa kifo aliowahi ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果