Tangu dirisha la majira ya baridi lilipofunguliwa wakati wa msimu wa 2002/03, Liverpool imefanya mikataba mibaya. Andy Carroll, Steven Caulker na Ozan Kabak ulikuwa usajili ambao haukukidhi matakwa ...
Mkufunzi wa Manchester United, Ruben Amorim amegonga vichwa vya habari aliposema, ni bora kumuweka kama mchezaji wa akiba kocha wake wa makipa mwenye umri wa miaka 63, kuliko Marcus Rashford ...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kati leo imekutana na wadau mbalimbali wa sekta ya umeme mkoani Singida ili kupokea maoni, ushauri na changamoto zinazowakabili kwa ...
Jimbo moja tu kati ya 50, Louisiana, lina ufaulu bora wa kusoma kwa wanafunzi wa shule ya msingi kuliko kabla ya janga. Kuendelea kupungua huku kwa usomaji "kunapendekeza kuwa tunakabiliwa na ...
Wydad imetuma maombi Yanga ikiwahitaji mastaa wao wawili Mzize na Aziz Ki kabla ya dirisha la usajili Morocco linalofungwa leo, lakini baada ya kuona kuna ugumu kuwapata kwa haraka wakaamua kumnyakua ...
Tottenham wako kwenye mazungumzo yaliyofikia hatua kubwa kwa ajili ya kumsajili beki wa Uingereza Fikayo Tomori, 27, kutoka AC Milan . (Sky Sports) Mathys Tel imekataa kuhama kutoka Bayern Munich ...
Yanga inayotetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Bara iliouchukua kwa misimu mitatu mfululizo, iko nafasi ya pili na pointi 39, nyuma ya wapinzani wao Simba wenye 40, baada ya kila timu kucheza michezo 15.