Washikabunduki' hao hawajawahi kuwa na matumizi makubwa ya fedha kwa usajili wa Januari na rekodi yao katika soko la majira hayo ya baridi ni mchanganyiko. Wachezaji wachache wakubwa walisajiliwa ...
pia wajihadhari na kupenda pesa kwani pesa nyingine ni za maagano ya kuzimu” Alex MSAma Alex Msama ni mdau mkubwa wa Muziki wa Injili na Hivi karibuni alipokea tuzo ya heshima ya kuwa muandaaji bora ...
wakali wa rodeo na Kulia akiwa amevalia mavazi ya hudhurungi ya cowgirl na kofia nyangavu ya waridi. Ameteuliwa katika vipengele viwili, rapper Doechii alikuwa na moja ya maonyesho yaliyozungumzwa ...
Abdalla Seif Dzungu Chanzo cha picha, Getty Images Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown amejumuishwa pamoja na wasanii kutoka Nigeria katika kitengo cha Msanii bora wa Afrika katika tuzo za 2025.
ameshawasilisha hilo katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni ya chanjo hiyo mjini Musoma hivi karibuni. "Mkoa wetu una mifugo 4,745,411, ng'ombe ni 1,451,484. Miongoni mwa mifugo hiyo, mbuzi ni 707,442, ...
Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
hali inayotoa uwezo mkubwa wa kuonyesha dunia njia mpya ya maendeleo ya kiuchumi yenye msingi wa uendelevu, uvumilivu, haki, na ushirikishwaji". Akisistiza uhusiano baina ya nishati na maendeleo ...
Lakini simu aliyopigiwa miezi kadhaa baadaye alipokuwa mtaani kwao huko Nakuru, iligeuza hali yake katika safari ya kurejea kwenye uwanja wa soka, hadi sasa kukaribia kushinda Tuzo ya Ufungaji Bora ...
itawafanya kupata huduma bora na kuisemea Serikali vizuri. Dk Salekwa amesema Preshdas imekuwa msingi mzuri katika maendeleo ya sekta ya kilimo cha miti na ufugaji nyuki kwa wananchi wa Wilaya ya ...
Katika uzoefu wake wa miaka 19 katika sekta ya benki, alifanya kazi na taasisi maarufu kama vile Standard Chartered Bank, Barclays Bank, na Bank M nchini Tanzania. Mbali na mafanikio yake ya ...
MSHAMBULIAJI wa Simba, Leonel Ateba Mbida anaendelea kuonyesha kiwango bora hadi sasa katika michezo ya Ligi Kuu Bara na timu hiyo, huku akiwa kwenye mazingira mazuri ya kuandika rekodi mpya ya ...