Muonekano wa moja kati ya mashamba ya viazi mviringo lililopo Mtwango wilayani Njombe. Njombe. Wakulima wa viazi mviringo mkoani hapa, wameiomba Serikali kuongeza wigo wa upatikanaji wa mbegu za zao ...
Ili kukabiliana na changamoto hizo mradi wa Reacts In umeanza kusambaza mbegu za mazao yenye virutubisho ambazo ni mahindi lishe, viazi lishe na maharagwe lishe kwa wakulima wa wilaya za Maswa na ...
WAKULIMA wa viazi mviringo mkoani hapa wameiomba serikali kuongeza upatikanaji wa mbegu za zao hilo ili kukabiliana na uhaba na kusababisha kushindwa kuzalisha kwa wingi. Ombi hilo walilitoa mwishoni ...
Anasema jinsi Mtoto anavyopungukiwa baadhi virutubisho muhimu mwilini husababisha mtoto kuwa na uelewa mdogo hasa darasani hivyo anapaswa kupata vyakula ambavyo vinagusa makundi tofauti ili kumsaidia ...
Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida Suleiman Mwenda ameongoza kikao cha tathmini ya mkataba wa lishe jiongeze na tuwavushe salama kilichofanyika Januari 22,2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa ...
Hata hivyo, kuhesabu kalori ilikuwa ni jambo geni katika karne moja iliyopita. Kalori kama kipimo cha lishe kilianza kutumika mwishoni mwa karne ya 19. Lakini ni mwishoni mwa miaka ya 1920 ndipo ...
Madaktari wanasema lishe bora, kuwa na uzito wa kiasi na kuacha kuvuta sigara ni njia bora za kupunguza hatari ya kupata saratani ya utumbo. Chanzo cha picha, Getty Images Utafiti huo, kutoka Chuo ...