"Soko letu lina vitengo vingi vikiwamo vya mazao ya nafasi, mama lishe na baba lishe, viazi vitamu, viazi mviringo, nafaka, mihogo, miwa na vingine vingi vinavyoweza kuingizia manispaa mapato ya ...
WAKULIMA nchini wametakiwa kuwa huru kupanga bei ya kuuza mazao yao ya nafaka kwa kuzingatia thamani na vipimo sahihi ili kukuza uchumi wao kwa kupata mapato ya kutosha. Kauli hiyo ilitolewa jana na ...