Viazi vitamu (Ipomoea batatas) ni mboga ya mizizi yenye wanga, yenye ladha tamu. Ngozi yake ya nje ni nyembamba na kahawia na nyama yake ina rangi angavu, mara nyingi rangi ya machungwa ...
Wanasayansi kutoka China watajaribu kukuza viazi kwenye Mwezi kama sehemu ya safari yao watakayoifanya hivi karibuni kwenye Mwezi. Kwa mujibu wa taarifa katika gazeti la Chongqing Morning Post ...