Vilevile, Mkuu wa Wilaya aliwataka wananchi wa Kwipipa na Gairo kwa ujumla kutojihusisha na masuala ya wizi wa vifaa vya miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya wilaya hiyo kwa sababu vifaa hivyo ...
Dar es Salaam. Wagonjwa watakaofanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, watanufaika na maboresho ya huduma hiyo baada ya Ubalozi wa China, kuipatia hospitali hiyo vifaatiba vya teknolojia ...
Manish Jangra, Kiongozi wa Timu ya Samsung Tanzania, alionesha kufurahishwa na uzinduzi huo, “Matoleo ya simu hii ni mseto wa teknolojia ya hali ya juu ya AI na vifaa vya kisasa. Imeundwa kubadilisha ...
Hapa ni jinsi ya kuvivaa na kuonekana stylish: Pochi la kiunoni la kisasa: Vipochi hivi vinaweza kuwa vya ngozi, kitambaa, au vifaa vya kisasa vya plastiki. Vipochi vya ngozi vinavyopatikana na rangi ...
kwamba M23 na jeshi la Rwanda "wamerekodi hasara kubwa kwa wanajeshi na vifaa". Vikosi vya wanajeshi vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo pia vimetangaza kwamba mapigano dhidi ya mvamizi huyo ...
Kuanzia vita vya Gaza, Sudan, na Ukraine hadi kuhakikisha chanjo na vifaa vya matibabu vya kuokoa maisha vinawafikia wale walioko maeneo ya mbali au ya hatari. Pamoja na changamoto zisizo na kifani ...
Watu wa karibu kama vile wanafamilia, wahudumu na wafanyakazi wa afya wako hatarini zaidi ikiwa hawatatumia vifaa vya kinga vya kibinafsi (PPE) wakati wa kutunza wagonjwa au kushughulikia miili ...
Anadokeza kuwa usajili wa VAT unahusisha pia, matumizi ya lazima ya vifaa vya kifedha vya kielektroniki (EFDs) ili kuimarisha usahihi na uwajibikaji. Issa anasema hatua hizi za pamoja zinaonesha ...
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Exaud Kigahe, amewataka wawekezaji kuongeza thamani za bidhaa na kuwekeza kwenye vifungashio vya bidhaa ili kudhibiti hasara za mavuno nchini. Kauli ...
Japani imeikabidhi Ukraine gari la matangazo ya nje, OB na vifaa vingine ili shirika la utangazaji la umma la Ukraine liweze kuendelea na shughuli zake huku operesheni ya kijeshi ya Urusi ikiendelea.
Chanzo cha picha, Chadema Kuanzia 2010 Chadema ndipo ilianza kuwa chama kikuu cha upinzani, ikivipiku vyama vingine vya upinzani kama Chama cha Wananchi (CUF) na NCCR-Mageuzi. Tangu wakati huo ...
Kujitolea huku sio tu kwa kazi za mikono. Baye wameanzisha vyama vya ushirika, biashara za kijamii, na mashirika yasiyo ya kiserikali yenye lengo la kukuza maendeleo katika maeneo ya vijijini ya ...