LAMBERT Vissot, maarufu kama “The Gem Hunter,” ambaye ni mtaalam mashuhuri katika uchimbaji madini ya vito amesema kinachowezesha mafaniko makubwa katika uchimbaji madini ya vito ni uwepo wa vifaa vya ...
Dar es Salaam. Ripoti ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje kwa mwaka 2024 inaonyesha uagizaji mkubwa wa vifaa vya viwandani, hali inayoakisi ukuaji wa sekta ya viwanda nchini. Takwimu zinaonyesha kuwa ...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wavuvi Zanzibar Omar Makame Mohamed akizungumza katika mkutano wa tathmini ya vifaa vya kutambua mwenenedo wa wavuvi baharini Zanzibar Unguja. Baada ya kufungwa vifaa maalumu ...
Vilevile, Mkuu wa Wilaya aliwataka wananchi wa Kwipipa na Gairo kwa ujumla kutojihusisha na masuala ya wizi wa vifaa vya miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya wilaya hiyo kwa sababu vifaa hivyo ...
Manish Jangra, Kiongozi wa Timu ya Samsung Tanzania, alionesha kufurahishwa na uzinduzi huo, “Matoleo ya simu hii ni mseto wa teknolojia ya hali ya juu ya AI na vifaa vya kisasa. Imeundwa kubadilisha ...
Hapa ni jinsi ya kuvivaa na kuonekana stylish: Pochi la kiunoni la kisasa: Vipochi hivi vinaweza kuwa vya ngozi, kitambaa, au vifaa vya kisasa vya plastiki. Vipochi vya ngozi vinavyopatikana na rangi ...
kwamba M23 na jeshi la Rwanda "wamerekodi hasara kubwa kwa wanajeshi na vifaa". Vikosi vya wanajeshi vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo pia vimetangaza kwamba mapigano dhidi ya mvamizi huyo ...
Kuanzia vita vya Gaza, Sudan, na Ukraine hadi kuhakikisha chanjo na vifaa vya matibabu vya kuokoa maisha vinawafikia wale walioko maeneo ya mbali au ya hatari. Pamoja na changamoto zisizo na kifani ...
Watu wa karibu kama vile wanafamilia, wahudumu na wafanyakazi wa afya wako hatarini zaidi ikiwa hawatatumia vifaa vya kinga vya kibinafsi (PPE) wakati wa kutunza wagonjwa au kushughulikia miili ...
Hospitali ya Al Awda, kituo pekee cha afya kinachofanya kazi kwenye eneo la Gaza Kaskazini, inakabiliwa na uhaba wa nishati ya mafuta, vifaa vya matibabu na vifaa vingine muhimu. Kwa upande wake, ...