Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara Baruti.
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limesema watoto wawili waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha wakiwa na mfanyakazi wa ndani siku tano zilizopita wamepatikana. Imeelezwa katika taarifa ya polisi ...
JESHI la Polisi mkoani Songwe limewakamata watuhumiwa wanne ambao ni Junge Jilatu na wenzake watatu wakazi wa Kijiji cha Namsinde, Kata ya Mkulwe kwa tuhuma za mauaji ya watoto wawili. Taarifa ...
DADA wa kazi aliye fahamika kwa jina moja la Neema (35) anatuhumiwa kutoweka kus ikojulikana na watoto wawili wenye umri wa miaka mitatu na minne kutoka nyumbani kwa mwajiri wake, Hawa Suleiman.