"Yeye ni kama baba yetu na mama yetu. Yeye ni mama tunayempata wakati familia zetu zinapotutenga," asema Sébastien ambaye sio jina lake halisi , mwanaharakati wa LGBT.
Jeshi la Sudani Kusini lilitekeleza mashambulizi ya anga usiku wa Jumapili, Machi 16, kwenye mji wa Nasir, huko Upper Nile ...
Ameeleza pia Septemba, 2021 watu 10 walifariki kutokana na ajali ya boti kwenye ufukwe wa Pier Beach Homabay nchini Kenya.
Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni kuna visa 1,153 vya adhabu ya kunyongwa mwaka 2023 kwa ujumla, ongezeko la asilimia 31 kutoka 883 mwaka 2022.
Siku chache baada ya chama tawala nchini Uganda, NRM kutangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la ...
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania, ziizopo Kampala nchini Uganda na kufanya ...
DAR ES SALAAM; RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania imepata manufaa na heshima kwa kuandaa mashindano ya 25 ...
KUELEKEA kumbukizi ya miaka minne ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dk. John Pombe Magufuli, Machi 17, 2025, ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir amesema utamaduni wa kufuturisha waumini wakati wa Mfungo wa Ramadhani una malipo ...
Mongella amesema “Bado kuna mengine ambayo tunahitaji kuendelea kuyafanyiakazi mathalani linapokuja suala la usawa baina ya wanawake na wanaume hili jambo linaeleweka kwa watu walio wengi, isipokuwa ...