Akijitahidi kuwa mkakamavu, mkusanyaji takataka Okuku Prince mwenye umri wa miaka 22 anakumbuka wakati mwili wa rafiki yake ...
Jeshi la Sudani Kusini lilitekeleza mashambulizi ya anga usiku wa Jumapili, Machi 16, kwenye mji wa Nasir, huko Upper Nile ...
Ameeleza pia Septemba, 2021 watu 10 walifariki kutokana na ajali ya boti kwenye ufukwe wa Pier Beach Homabay nchini Kenya.
Licha ya miaka 62 tangu Uganda kupata uhuru wake kutoka kwa Uingereza, barabara nyingi mjini Kampala bado zinatumia majina ya ...
Siku chache baada ya chama tawala nchini Uganda, NRM kutangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la ...
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania, ziizopo Kampala nchini Uganda na kufanya ...
WATU 700 wamepatiwa huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo katika maonesho ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, ...
DAR ES SALAAM; RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Tanzania imepata manufaa na heshima kwa kuandaa mashindano ya 25 ...
Akiwapokea rasmi kwa niaba ya serikali ya Uganda, waziri wa masuala ya Kaskazini ... ya Kati pamoja na ile ya Uholanzi kwa kuwezesha watu 157 waliokuwa waasi wa LRA kurudi nchini katika kipindi ...
“Pia tumeazimia kuchakata na kufanya biashara ya kahawa angalau asilimia 50 ndani ya Bara la Afrika ifikapo mwaka 2035, na ...
“Mchango wa Korea Kusini ikijulikana rasmi kama Jamhuri ya Korea, utawezesha WFP kusaidia zaidi ya watu 158,000, wakiwemo wakulima wadogo, wafugaji, vijana na wanawake,” imesema taarifa hiyo. Lengo ni ...