MABORESHO ya kodi ni suala ambalo limekuwa kitovu cha majadaliano mengi yahusuyo uchumi katika miaka ya hivi karibuni, huku ...
Anasema mchakato wa kuanzishwa kwa chuo kikuu hicho ulianza baada ya Rais wa Awamu ya Tano, Dk Salmin Amour Juma kuunda timu ...
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imetaja mafanikio makubwa iliyoyapata katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa ...
Chaguo la utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump kufanya mazungumzo ya kusitisha mapigano ya Ukraine katika mji mkuu wa ...
Kabla hajakatwa mguu, Annah hakupenda kupigwa picha. Lakini baada ya safari yake ya saratani, aliamua kutumia mitandao ya ...
KAMATI iliyoundwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo kuchunguza wafanyabiashara wa kigeni maeneo ya Kariakoo ...
Pemba ina mikoa miwili. Mmoja Kusini Pemba, mwingine Kaskazini Pemba. Kusini ndiyo mjini, makao makuu ya Kisiwa cha Pemba.
Kwa muda mrefu Kisiwa cha Pemba kimekuwa ngome ya upinzani, tangu uchaguzi wa kwanza baada ya mfumo wa vyama vingi kurejeshwa mwaka 1995, kisiwa hicho kilikuwa ngome ya Chama cha Wananchi (CUF).
Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) katika utekelezaji wa Bima ...
Baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Tottenham, kocha wa Manchester United, Ruben Amorim amelalamika akisema kazi ...
Kitabu cha JUA Na UA, ambacho ni sehemu ya mfululizo wa vitabu vya hadithi za watoto vilivyoandikwa na Mtanzania Prudence Zoe Glorious, kimezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki, Februari 15, 2025. JUA Na ...
Rwanda imetangaza siku ya Jumanne kusimamisha programu za misaada ya maendeleo ya Ubelgiji nchini humo, ikishutumu mkoloni ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果